Mwanzo wa meditation

Mm nifanya kma ulivyoelekeza meditation ya pumzi nikajikuta npo kwenye chumba fulan Kuna mwanga mkal , nikiwa nafanya nilikua nmelala ili kwenye hicho chumba nilikua nmekaa , Nikaogopa nikafumbua macho haraka ili kunyanyua mwli nilishndwa mpka dkika tano zilipo isha nilijihis mwili haupo . JE NPO SAHIHI KWA JARIBIO LANGU???
 
gizani sio pazur wala Kwenye Mwanga Mkali Sio Pazur..

#Rakims
Habari mkuu Rakims umesema kuwa ku-meditate gizani Sio pazuri.
Je, Kuna uhusiano wowote kati ya Pineal gland na giza? Kwa maana Kuna makala nimeisoma sehemu inasema kuwa kwa waanzaji wapya au watafutaji wa spiritutal awakening wanashauriwa sana ku-meditate gizani (usiku) kwakuwa tezi ya pineal gland usiku (gizani) ndio huzalisha melatonini kwa wingi ambayo ndio hupelekea watu kuhisi usingizi. Sababu nyingine wakasema kwamba mwanga hupenya kwenye kope za macho na kusababisha usumbufu kwa meditator wakati amefumba macho. Wakaenda mbali zaidi wakasema kuwa hata katika imani Giza ni origin kwa maana halikuumbwa lilikuwepo, Nuru (mwanga) iliumbwa.

Unalizungumziaje hili?
Na je, kwanini gizani Sio pazuri?
Msaada mwalimu Rakims
 
Ndio upo sahihi unatakiwa urudi tena kadri unavyorudia ndivyo unavyozidi kuelewa zaidi hatua zangu za kwanza kuna mara ya 5 au 7 tangu nimeanza nilipo maliza nililala nikaota natafuna maini sikuelewa ni nini lakini as days goes nikaja kugundua nilikuwa na sumu mwili maana within 7 days after nilipata choo chenye sumu

Rakims
 
Habari mkuu,

Ni kweli ulichosema kwa asilimia 50 lakini kwa asilimia 50 usifuate maana yake kuhusu giza ni kweli lakini kuhusu kufanya meditation kwenye giza kwa beginner sio sawa kwa maana asili ya mwanadamu ni roho na roho ni nuru na nuru ni mwanga vyovyote vile akiatract giza zaidi ndani yake basi atazidi kuwa gizani.
My advice dig more deeper,

Rakims
 
Mkuu vip kuhusu group LA whatsapp
 
nimefanya meditation hyo ya kulala lakini kati kati nikawa nahisi kama barid /kupooza kunaanzia miguuni kunaonda kulivyofika kiunoni fasta nikaacha
 
nimefanya meditation hyo ya kulala lakini kati kati nikawa nahisi kama barid /kupooza kunaanzia miguuni kunaonda kulivyofika kiunoni fasta nikaacha
Awareness ndio funguo ya haya mambo mkuu na relaxation
 
Ni madhara gani mtu huyapata akifanya meditation??

Na vipi kama akikosea kama hivo kugonga kidole? Ni kipi kitamtokea akizidisha muda ulioshauri au akachelewa ama kutogonga kidole kwa wakati??
 
Mim jana usiku nimemuona huyu nilikuwa macho tu nikashangaa kama tochi zinanipiga usoni mara nikaanza kuona rangi ya njano,blue,zambarau kisha nikaona mtu akageuka kunitazama alikuwa amekaa Na ni muhindi mwanamke anafanana Na huyu hapa nimeshangaa sana haijawah nitokea
Akapotea zikaja rangi mara nyeupe basi mvurugano na nilikuwa nimelala kifudifudi nimeangalia ukutani
Nlikuwa nakwapua macho lakin naendelea kuona rangi
Nielewesheni

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…