Mwanzo wa meditation

Habari kaka #Rakims ,mimi ni mara ya kwanza nimeingia jamvini na ninatamani sana kuanza leo. Tafadhal nisaidie mawasiliano yako nipate muongozo zaidi
 
Pia naomba rakhim uwe mwalimu wangu naitaka sana OBE na meditation
 
...hivi meditation ni kweli?
je inasaidia katika masomo au ni mambo ya imani tu?
 
This knowledge should be banned. This is destructive knowledge, please moderators delete this thread.
 
Masomo 9 ya Kiroho

Jua ni dawa

Karma ni kweli

Prana ni nguvu ya maisha ya nishati

Mwezi huimarisha uwezo wako wa kiakili

Kila kitu kimeunganishwa katika Ulimwengu huu

Udhihirisho na Ndoto ya Lucid ni halisi

Uponyaji ni mchakato wa kila siku

Nishati ni halisi na mwili wako unaweza kuzihisi

Furaha na Kujipenda ni dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukija daslama tuwasiliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…