Mwanzo wa meditation

Nimejifunza kitu humu nilikuwa naangaliaga tu movie za maBudha nikajua ni Imani zao,, nataka kujifunza rasmi ila naomba mwenye link ya uzi wa Pasco mshanajr wauweke au unaitwaje tuangalie na wenyewe

Big up mkuu Rakims

Ahsante Uzi Wa Pasco, Search: Psychic Powers, Ni Nguvu Za Kufanya Miujiza Wengi Wanazo Bila Kujitambua Je Wewe Unazo?

Au Search Hivi Rakims Utauona Umeandikwa Psychic Powers Ndo Huo Wa Pasco...

Hapo Unamkuta Na Mshana Jr Lakini Yeye Uzi Wake Siufahamu..

#Rakims
 
Last edited by a moderator:

Mimi nimekuwa mchangiaji tuu kwenye nyuzi zenu na pia nimejifunza mengi pia toka kwenu
 
Wakufunzi kumekucha naamini mpo sarama Mwenyezi Mungu amewaamsha sarama,karibuni tuendelee na uzi wetu.

kama ujuavyo mwanafunzi aanzapo masomo hutamani hata mwalimu asilale ndio kama sisi Katika jukwaa hili,RAKIMS karibu....!!
 

Una Power Nyingine Ni Physichoscopy Hii Ukiizidisha Sana Unaweza Kuwa Fortune Teller(mpiga Ramli) Achana Nayo Sio Nzuri Maana Ukishaifungua Ukimshika Mtu Katikati Ya Kiganja Cha Mkono Wa Kulia Ukakipindisha Unapata Background Ya Yule Mtu..

Naomba Nieleweke Ukiweza Kuona Background Yake Hiyo Sio Ramli Ila Ukiforce Power Zako Zikakuonyesha Matukio Yake Yaliyopita Pia Sio Ramli.. Ukigusa Mbele Kidogo Ya Katikati Ya Kiganja Chake Basi Hapo Unaangalia Matukio Yake Yajayo Ambayo Ni Ramli Na Dini Zote Zimekataa.. Unaweza Kuwa Mpiga Ramli Wa Psychic Power In Light Side Kwa Kusoma Past Ya Mtu.

Lakini Unaweza Kuwa Mpiga Ramli Wa Psychic Powers In Dark Side Kwa Kusoma Future Ya Mtu. The Choice Is Yours. Lakini Mimi Kama Mwalimu Wako Sikukadhanii Kuifungua Hii I Uncharge Ikitaka Kuanza Kujicharge. Charge Zingine Ambazo Ni Nzuri Tu..

#Rakims
 
Hivi ni lazima kukaa sakafuni au kwenye mkeka unapotaka kufanya meditation? Je, nikikaa au kulala kitandani haiwezekani?

Samahani ndugu RAKIMS kwa swali hilo. Mimi nimefuatilia sana darasa zako juu ya kujitambua sisi kama binadamu na nguvu tulizonazo. Nina kubaliana na wewe kwenye kila kitu kwani kuna baadhi ya mambo Mungu ametupa uwezo wa kuyamudu wenyenye isipokuwa kutokana na kutokuwa na elimu tunashindwa kutambua uwezo tulionao na hivyo kujenga dhana za uoga na kuamini kila kitu ni ushirikina.

So go on bro, I belive one day I will be able to open my powers. Thanx.

#The master.
 
Wakufunzi kumekucha naamini mpo sarama Mwenyezi Mungu amewaamsha sarama,karibuni tuendelee na uzi wetu......kama ujuavyo mwanafunzi aanzapo masomo hutamani hata mwalimu asilale ndio kama sisi Katika jukwaa hili,RAKIMS karibu....!!

ahsante Mkuu.. Natumai Umeamka Salama Pia.. Mimi Pia Nyinyi Mnanisomesha Maana Inafikia Sehemu Mnaniuliza Maswali Ambayo Yananitaka Nirudie Vitabu Ili Nijibu.. Tunasomeshana Mkuu, Ukizingatia Hizi Mambo Niliwahi Kudumbukia Deep Sana Nikastop Nikatoka...

#Rakims
 

If Only Kitanda Au Godoro Halitabonyea Ukilala Wasi Wasi Usingizi Ukipita Kuamka Wewe Itachukua Muda Wa Masaa Mengi Kama Ulikuwa Unaamka Saa 12 alfajir Unakuwa unaamka saa 4 asubuhi..

#Rakims
 
Kuhusu Ya Chakras Swali Nimeulizwa Hapo Juu Kuna:

1: Crown Chakra-ipo utosini (inahusiana na spirits (majini au malaika)

2: third eye chakra- ipo katikati ya nyusi mbili mtenganisho.. (inahusiana na nguvu/akili)

3: throat chakra: ipo kwenye koo la chakula kwa nyuma (inahusiana na heshima Katika Mawasiliano)

4: heart chakra: ipo moyoni ni moyo (inahusiana Na Heshima Ya Upendo au Chuki)

5: solar plexus chakra: ipo chini kidogo ya moyo/juu kidogo ya tumbo(inahusiana Na heshima na mambo ya life force)

6: Splenic Chakra Au Chakra Ya Wengu.. Ipo Maeneo Ya Tumbo ni Honors Creative

7: Root Chakra: Ipo Sehemu za siri(tupu ya mbele) It Honors The Earth (Heshima Ya Nchi)

8 & 9.. This is for masters...

Hizo Ndizo Chakra Na Zina Kazi Zake....

#Rakims
 
Goodmorning...
Swali..
Ukiwa katikati ya meditation akatokea mtu ghafla akaanza kukusemesha vp unaweza kumsikia na kumjibu?

Je ukiwa umezama katika meditation unaweza kuingia na kutoka kwa muda unaotaka???

Ushauri..
Katika hiyo group ya whatsapp acha nafasi kama kumi ambazo wanaxhama ndio watawapendekeza watu wao.. hiyo itasaidia kupata watu serious.. maana kwenye msafara wa mamba na.........
 

Kuingia Ni Ngumu Kidogo Ndio Maana Unaona Wanafunzi Wengi Mpaka Leo Hajaingia.. Kutoka Ni Simple Sana Kuna Njia Nyingi.. Kubwa Ni Mbili 1: Kuimagine Mlango Mwekundu Ndio Exist.. 2: Kugonga Kidole...

Pendekezo Kuhusu Group: bado Contact Zinaingia P.m Zikistop Inamaana Group Itaanza Anaefanya Mistake Mara Tatu Basi Nafasi Yake Itachukuliwa Na Wageni P.m

#Rakims
 
Meditation inasaidiaa nino

pitia faida za meditation.. Soma uzi wa pasco Psychic Powers, Angalia Watu Waliyochangia.. Darasa Limeendaje N.k Utaelewa Ni Zaidi Ya Unachofikiria Kuwa Ni Faida.

Waweza Kumaliza 2yrs Bila Kichwa Kuuma...

#Rakims
 
 
 
Mimi nimejaribu na nikajikuta jicho la kulia upande wa chini linacheza cheza sana hadi nikaogopa na nikastop je, hiyo ni ishara gani? Na bado hadi sasa linacheza.
 
Mimi nimejaribu na nikajikuta jicho la kulia upande wa chini linacheza cheza sana hadi nikaogopa na nikastop je, hiyo ni ishara gani? Na bado hadi sasa linacheza.

Damu Tu Hiyo Inatembea Sawa Na Kuhisi Nyama Za Mwili...

#Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…