herrypeter1
JF-Expert Member
- Jan 17, 2009
- 223
- 30
mambo.ya experience yanaboa.sana so mtu ukitoka chuo inabidi ukae home tena?
Wakati wa ukoloni wawekezaji walio kuwa wanakuja awakuajiri wazawa kutokana kuwa walisema atuna elimu, Ni kweli watanzania wengi tulikuwa atuna elimu na wale walikuwa na elimu ilikuwa ni rahisi kupata ajira, ila sasa wanasema BAADA YA WATANZANIA KUWA NA ELIMU WANAITAJI EXPERIENCE NA WANARETA WATU KUTOKA KWAO KUTOKANA ATUNA EXPERIENCE, JE TUTARAJIE NINI BAADA YA EXPERIENCE? ILI TUJIAANDAE

Kwa namna yako ya uongeaji nina shaka kama unaelewa maana ya kusoma na kuwa na elimu.
ATUNA elimu,
WANARETA watu......hii ni dalili mbaya. Kama umeenda shule na bado unaleta kiswahili kichafu namna hii sijui kwenye hesabu na mwandiko ukoje.
Nachefuka sana na viswahili vichafu, bora uongee broken English usamehewe kwa kuwa ni lugha ngeni lkn si kiswahili. Hiyo ni dalili kuwa unachukua miaka 10 ku - adopt jambo dogo tu.
Unahitaji experience ya kuongea

Sasa nakubai kuwa kumbe mtu unaweza kuwa humjui lakini kwa lugha yake akakuchefua kabisa na kukuharibia siku...eti atuna....??!!:A S thumbs_down:
Baada ya Hilo watasema tumefikia umri wa kustaafu!! Dats it
Kwa namna yako ya uongeaji nina shaka kama unaelewa maana ya kusoma na kuwa na elimu.
ATUNA elimu,
WANARETA watu......hii ni dalili mbaya. Kama umeenda shule na bado unaleta kiswahili kichafu namna hii sijui kwenye hesabu na mwandiko ukoje.
Nachefuka sana na viswahili vichafu, bora uongee broken English usamehewe kwa kuwa ni lugha ngeni lkn si kiswahili. Hiyo ni dalili kuwa unachukua miaka 10 ku - adopt jambo dogo tu.
Unahitaji experience ya kuongea
umefata mkumbo kukosoa kama huna cSasa nakubai kuwa kumbe mtu unaweza kuwa humjui lakini kwa lugha yake akakuchefua kabisa na kukuharibia siku...eti atuna....??!!:A S thumbs_down:
ukiwa na expirence sana nalo tatizo kwa bongo, chamsingi watu wasiyo kuwa na ajira inabidi waungane kwa pamoja nakubuni mradi wa kujiajiri wenyewe Tatizo lanchi yetu haina Makampuni ma kubwa naviwanda novyo hakuna lakini pamoja nayote hayo "there is a lot of money to be maide"
ss mtu ukiwa chuo,maana ya kufanya field cjuui ni nn?hainiingii akilini,experience naitoa wapi wakati hamtaki kuniajiri?
Mi bwana sielewi atuna ndio nini.