WONDERWOMAN
Member
- Jul 21, 2009
- 79
- 15
Kuna kakangu mmoja alisema kuwa anampenda sana mkewe na watoto ila kuna vikero vidogo vidogo anahisi visigekuwapo kama wangekuwa wanaishi mbali na wifi ,sio kwa kumchukia au kwa kukwepa majukumu ila kupeana nafasi kidogo na demokrasia zaidi lakini hakuna kuzini,mwaionaje hii wakuu wa jamvi!