1. (S) SUMMARY. As suspected, the Kikwete administration is facing civilian-military tensions: Tanzania's Chief of Defence Forces (CDF) is hindering the President and Minister of Defence's decision to take the next step in the African Contingency Operations Training and Assistance (ACOTA) program. Fortunately, the CDF is due to retire July 31 and President Kikwete intends to put the program on track after his departure. On May 2, Defence Minister Juma Kapuya asked to meet with Ambassador Retzer to apologize for the delay and to assure the Ambassador that ACOTA training could begin sometime after August 1. Kapuya confided to the Ambassador that President Kikwete was "trying to avoid open confrontation and buying time."
(Note: the Minister implied that this confrontation was with the CDF and that he was waiting until the CDF retired in July.) Repeatedly confirming President Kikwete's commitment to U.S. peacekeeping training, Kapuya also sought the Ambassador's help in explaining the matter to Washington. "We don't want anything to taint the positive momentum that is building in our relationship," Kapuya stressed. The Ambassador assured the Minister that we understood the temporary obstacle President Kikwete faced and that we looked forward to
starting ACOTA training in August. END SUMMARY........
Mwapachu alikuwa ana serve interest za waganda na wakenya, ndiyo maana anakubalika huko. Msaliti mkubwa yule wa Tanzania. Alipewa rushwa kuptisha mambo yao mengi. WaTZ walioko humo wanajua!
Kwa sisi tunaomjua nakwambia Mkuu Omutwale huyo Bwana Mwapachu ni jembe la uhakika, yeye personal ndiye alileta changes nyingi tuu kwenye hii jumuiya ya Afrika Mshariki!!!!!!!!!Kuanzia maslahi ya staff in all categories, sera na mwelekeo wa Jumuiya, Customs Union, Common Markets etc, all these things some one have to be focused!!!!!!!! The man is a mover, motivator and can negotiate to achieve a purpose!!!!!!!!Aliyekuwa Katibu wa Jumuhiya ya Africa Mashariki Mtanzania Balozi Mwapachu amepewa Tuzo ya Ushupavu na Rais Kibaki ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuanzisha ushuru na soko la pamoja na kuweka misingi ya kuelekea kuwa na sarafu moja. Wakati Kenya ikimtambua na kumtunuku Mtanzania huyu nchi yake ambayo pia ni Mwanajumuhiya haikumuona kuwemo miongoni mwa watu walioliletea Taifa heshima katika utumishi wa Kimataifa uliotukuka juzi ilipokuwa inahadhimisha miaka 50 ya Uhuru.
Ni aibu iliyoje jirani zetu wanadhamini mchango ya watu wetu kwenye sherehe zao za Uhuru na kuwatunuku nishani huku sie tukionyesha kutowatambua?
Kwa sisi tunaomjua nakwambia Mkuu Omutwale huyo Bwana Mwapachu ni jembe la uhakika, yeye personal ndiye alileta changes nyingi tuu kwenye hii jumuiya ya Afrika Mshariki!!!!!!!!!Kuanzia maslahi ya staff in all categories, sera na mwelekeo wa Jumuiya, Customs Union, Common Markets etc, all these things some one have to be focused!!!!!!!! The man is a mover, motivator and can negotiate to achieve a purpose!!!!!!!!
Wewe Bwn wacha uongo wako Watanzania gani walioko humo unaowasema????? Kama hujui jambo uliza kwa umakini, kwenye hiyo position yake kama Secretary General wa EAC ALIFANYA MAMBO MENGI SI KWA TANZANIA PEKEE bali kwa wote wenye malengo ya Jumuiya yenye nguvu!!!!!!! Hiyo rushwa alipewa na nani, kwenye mitandao na weak leaks zote isijulikane kuwa katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kapewa rushwa???????? Wacha unafiki labda unachukia msimamo wake maana anachukia ufisadi!!!!!!!!!!!!Mwapachu alikuwa ana serve interest za waganda na wakenya, ndiyo maana anakubalika huko. Msaliti mkubwa yule wa Tanzania. Alipewa rushwa kuptisha mambo yao mengi. WaTZ walioko humo wanajua!
Ndugu zangu, Kibaki kwa sasa ndiye kachukua usukani wa EAC, na hii tuzo ni kutoka EAC sio Kenya! Kibaki amempa kama kiongozi wa EAC na si kwa mamlaka yake kama Rais wa Kenya. Tanzania haimtambui/kumthamini? si kweli ndo maana alichukuliwa toka sekta binafsi na kuwa Balozi, na baadaye kama nchi ikaona ndiye anafaa kuwa Kinara wa EAC, kazi aliyoifanya vema na kupelekea kupewa hiyo tuzo.

Naomba tuweke kumbukumbu zetu sawa.
PRESIDENT MWAI KIBAKI AWARDS AMBASSADOR JUMA V. MWAPACHU MORAN OF THE ORDER OF GOLDEN HEART (MGH).
During the 48[SUP]th[/SUP] Independence celebrations of Kenya commemorated on 12[SUP]th[/SUP] December 2011, the President of the Republic of Kenya H.E Mwai Kibaki (MP; CGH) awarded Ambassador Juma V. Mwapachu with the MORAN OF THE ORDER OF GOLDEN HEART (MGH). This is the third highest honour accorded by the Government of Kenya to any person.....
nimekuelewa sasa,nilidhani tuzo imetoka kwa wakenya,nikajiuliza wakenya hawaoni wakenya wenzao mpaka kutoa tuzo kwa foreigner?
During the 48[SUP]th[/SUP] Independence celebrations of Kenya commemorated on 12[SUP]th[/SUP] December 2011, the President of the Republic of Kenya H.E Mwai Kibaki (MP; CGH) awarded Ambassador Juma V. Mwapachu with the MORAN OF THE ORDER OF GOLDEN HEART (MGH). This is the third highest honour accorded by the Government of Kenya to any person.....
Asante sana Kombo.
Record imewekwa sawa!
Ukarimu siku zote huanzia nyumbani, pamoja na kuwa seconded kwenye EAC, Serikali ya Tanzania (Tanganyika) imefanya nini kutambua mchango wa Balozi Mwapachu?