Mwarabu ashinda Miss USA 2010

Mwarabu ashinda Miss USA 2010

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Mwarabu Kuiwakilisha Marekani Mashindano ya Urembo ya Dunia
4484530.jpg

Rima Fakih Monday, May 17, 2010 6:02 AM
Mrembo toka Michigan, Rima Fakih ameshinda mashindano ya urembo wa Marekani Miss USA 2010 na kuwa mwarabu wa kwanza kushinda mashindano hayo makubwa ya urembo nchini Marekani. Rima Fakih Mmarekani mwenye asili ya Lebanon amekuwa Mwarabu-Mmarekani wa kwanza kushinda mashindano ya Miss USA katika historia ya mashindano hayo.

Katika mashindano yaliyofanyika mjini Las Vegas na kuonyeshwa live na televisheni ya NBC, Fakih aliwafunika jumla ya warembo 50 toka majimbo mbalimbali ya Marekani na kutwaa taji la Miss USA 2010.

Fakih mwenye umri wa miaka 24, alitwaa taji la urembo wa Marekani akifuatiwa na Miss Oklahoma aliyeshika nafasi ya pili, Miss Virginia, Miss Colorado na Miss Maine.

Fakih ataiwakilisha Marekani kwenye mashindano ya urembo ya Miss Universe yatakayofanyika baadae mwaka huu.
 
MKUU nilimuona live ktk tv....aisee mtoto si mchezo!!! KWA uzuri waarabu wanaongoza duniani, hii haina ubishi
 
MKUU nilimuona live ktk tv....aisee mtoto si mchezo!!! KWA uzuri waarabu wanaongoza duniani, hii haina ubishi
ni kweli waarabu ni wazuri sana, hata mashine zao sio baridi kama za wazungu na wadosi
 
Hata mimi nawakubali waarabu bana ni moto wa kuotea mbali
 
mhh mie nawapenda wadada wa Latin warembo balaa ndo maana Venezuela inashika kazi!
 
mhh mie nawapenda wadada wa Latin warembo balaa ndo maana Venezuela inashika kazi!
unawapenda???????....ndio maana wana JF wengi wanasema wewe Dume........, lakini mimi i think utakuwa ni lesbian
 
unawapenda???????....ndio maana wana JF wengi wanasema wewe Dume........, lakini mimi i think utakuwa ni lesbian

kwann niwachukie wadada??? hehe hehhe naweza kuwa dume au jike no worries!:target::target::target:
 
kwann niwachukie wadada??? hehe hehhe naweza kuwa dume au jike no worries!:target::target::target:
mimi sijasema wewe dume wala jike....mimi nimesema lesbian....take easy is aj joke
 
Duh! hata mwarabu anaruhusiwa kuvaa "kaptura" peke yake? Huyu asiende Iran watammaliza.
 
Back
Top Bottom