Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Nina umri wa miaka 28 mwajiriwa, kwa kipindi nimekuwa natafuta mchumba na mke wa kumuoa bila mafanikio. Nimekuja rasmi kwa jukwaa hili kutangaza kwamba hili jimbo ni huru nataka mchumba na mke wa kuoa lakini pia kwa kifupi natamani sana kuoa mwanamke ambaye ni jamii za waarabu, wahindi, wazungu, wanawake weupe sana na jamii hizo umri uanzie miaka 18 mpaka 30 pia awe mrefu wa wastani au mrefu sana maana mimi ni mrefu sana pia ni HB.
Kwa wale ambao mtakua interested mnicheki inbox mje tuchart, tuyajenga na mwisho tuanzishe familia. Kwa wale ambao mtaona nimewakwaza kwa vigezo hivyo nilivyovitaja mnisamehe maana ndio roho inapenda pa1.