Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Bila shaka ulitaka akuoe wewe,sasa mwenzio kaolewa wewe unamuonea wivu umekimbia kuja kusema hapa ili sijui tukusaidie nini,kwanini usiwaambie wazee wako wakadai mahari?,yaani ulipiwe mahari halafu aolewe mwingine?,Hakika inauma.Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.
Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.
Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
Hawezi kuwa mwanaume huyo, huyo ni dizaini hii.Mambo ya ajabu sana, imefikia hatua mwanaume anaona wivu mwanamke kuolewa?Nchi Ina mambo ya ajabu sana hii!!
Pambaf zakoUtopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.
Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
Pambaf zakoUtopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.
Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
Ila haji ni limbukeni sana.
Kweli kabisa, huyo mleta uzi anaonekana anapenda Sana kupigwa dusheBila shaka ulitaka akuoe wewe,sasa mwenzio kaolewa wewe unamuonea wivu umekimbia kuja kusema hapa ili sijui tukusaidie nini,kwanini usiwaambie wazee wako wakadai mahari?,yaani ulipiwe mahari halafu aolewe mwingine?,Hakika inauma.
Acha mambo yako ya kuligeuza jukwaa letu la michezo kuwa kijiwe chako cha kupigia umbea, kuleta mipasho, na kuimba taarab.Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.
Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
NashangaaMambo ya ajabu sana, imefikia hatua mwanaume anaona wivu mwanamke kuolewa?Nchi Ina mambo ya ajabu sana hii!!
Kwa hiyo hapa tukusaidieje labda? Tumwambie Manara aachane na mkewe ili .....?Utopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.
Mm nasena inye iche, Al Hilal anasonga mbele, hayo mnayofikiria nyie Al Hilal walishabaini kitambo, nyie subirini ligi kuu tu muzionee timu za bongo basi
Mwambie akuoe na wewe kuna nafasi bado ipoUtopolo bana, Leo mwarabu toleo la tatu amefunga ndoa na msaidizi wake, mtu mwenyewe ukimuangalia kiuno kama nge lkn bado t anaparamia mizigo, mwenzenu anakula maisha, huku nyie anawaambia muimbe wimbo wa Iwe Mvua Iwe Jua.