Mwarobaini wa nchi yetu ni Katiba Mpya

Mwarobaini wa nchi yetu ni Katiba Mpya

msigazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
467
Reaction score
349
Kwa nchi yetu ilikofika
Inahitajika katiba mpya kwa mstakabali wa nchi yetu

Tumeona mambo yanaenda ndivyo sivyo katika sekta tofauti tofauti hasa kwenye maamzi ya Baadhi ya viongozi

Kuna wengine wanadhalilisha wananchi kwa kuwapiga, kujeruhi, kuua na wengine kudhalilishwa hadhalani kwa kupigwa viboko watu na miji zao kupigwa hii sio sawa

Napendekeza katiba ifanyike kwa kupatikana maoni ya wananchi wote
Na jambo hili lifanyike haraka iwezekanavyo

KATIBA YA NCHI NDIO MWAROBAINI WA MASUALA HAYO YOTE.
 
Back
Top Bottom