Mwashambwa na Raraa Reree wamepotelea wapi?

Luka bado anabubujikwa na machozi ya furaha.

Raraa reree sijui kapotelea wapi. Labda kwa sababu watu wameanza kugeza ile tabia yake ya ku-like kila comment nae kaamua kutulizana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…