Kwa mujibu wa sheria aliyesaini ndio anatakiwa kusaini?Mwanasheria Mkuu wa Serikali, anaandamwa eti ajiuzulu kwa kashfa ya nchi kusaini mkataba wa Bandari na Dubai, yeye kosa lake ni lipi ikiwa hakuna saini yake kwenye mkataba huo.
Kwanini mnamuacha aliyehusika kusaini mkataba mnataka kumuangushia jumba bovu Jaji Feleshi?
Siasa tu .....Mwanasheria Mkuu wa Serikali, anaandamwa eti ajiuzulu kwa kashfa ya nchi kusaini mkataba wa Bandari na Dubai, yeye kosa lake ni lipi ikiwa hakuna saini yake kwenye mkataba huo.
Kwanini mnamuacha aliyehusika kusaini mkataba mnataka kumuangushia jumba bovu Jaji Feleshi?
Mtawafurusha kivipi?!!!Huu mkataba ulosainiwa una mapungufu mengi, ajisimama MZALENDO mmoja tu, tunawafurusha DP world.
[emoji1787][emoji1787]Umelewa "shengena"?!!!Bandari irejeshwe kutoka Kwa wahuni DP world
Baba mdogo Mzee Ali anashambulia kutokea Zanzibar....Fatuma ndo atakuwa kaanzisha hili,kisa tu enzi za Magufuli .Feleshi alipokuwa jaji kiongozi alimtemesha Fatu uwakili.
Wewe ni wakala wa WEZI CCM. Huwezi kuwa na akili timamu kuuza Mali za nchi
Huu mkataba ulosainiwa una mapungufu mengi, ajisimama MZALENDO mmoja tu, tunawafurusha DP world.
Mungu atajitwalia Utukufu.Too late, adui unae ndani kila mahali, nchi ilishaenda hii, sasa jitayarisheni kupanda rwanair badala ya Air Tanzania yetu, jiulize nani aliyepeleka Ndege yetu Uholanzi ili ikamatwe?
Wewe ni wakala wa naniWewe ni wakala wa WEZI CCM. Huwezi kuwa na akili timamu kuuza Mali za nchi