LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Haahaa kazi ipooo...Wakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche
Huyo dogo hata 35 hajafika bado mbichi kabisaHahahaha! Mimi mwenyewe najiuliza. Huko nyuma nilikuwa najua mwanzilishi ni Rungwe na CHAUMMA ilikuwa ni mali yake kumbe wapo waanzilishi wengine.
Halafu huyu jamaa itakuwa wakati wananzisha CHAUMMA aliwa na umri wa miaka 30 hivi kwa mwonekano wake.
Amesema pia ataanika fedha zilivyoingia kwenye chama.Kaamua kukataa utapeli
Aisee,ngoja tusubiriAmesema pia ataanika fedha zilivyoingia kwenye chama.
Wawe makini na watu wapya wasije wapa vyeo mapema. Akae kama mtu wakawaida plan za interior asijueWakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche