TANZIA Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia

Kila nafsi itakutwa na mauti.No more no less. Muda ukifika ndio umefika hakuna cha laana wala matambiko.
 
My sincere condolences.
 
Nice fupi na inaeleweka historia ya Mzee mtei
 
Mtei alikataa ujinga wa sera za ujamaa zilizofilisi nchi huku viongozi wakineemeka na ndiyo sababu ya yeye kupingana na Nyerere na hatimaye kuondoka Serikalini
Huo ubepari alioutaka unaihangaisha dunia nzima hivi sasa, maandamano kila kukicha huko USA maana yake sera hizo pia zinafeli tena kwa kasi.
 
Nasikia Samia ametuma salamu za rambirambi. Kiprotokali, ilitakiwa aiaddress kwa Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA. Sijui kama protokali imezingatiwa.
 
Zilizoungwa mkono au zilizopingwa?..

Mzee Mtei (Rip) na Ujamaa ni maji na mafuta .
Angalau zilitambulika kitaifa na kimataifa kuliko wengi wenye akili nyingi na mawazo mazuri wanaokwenda nayo kaburini.

Alikuwa waziri wa fedha nafasi ambayo aliweza kuchangia maarifa yake kwa ukuaji wa Tanzania ya miaka ile ya 70 mwishoni.
 
Pole kwa maumivu lakini "Wema hawafi" 🤓
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…