TANZIA Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia

Point kubwa sana. Nyerere pamoja na mapungufu yake kuna jinsi aliacha mafundisho fulani ambayo tungekaa pamoja kama taifa yangetusaidia sana.

Kama alivyosema mwenyewe, mazuri yake tuyachukue tuendelee nayo mabaya tuyaache. Badala yake, wahuni wameendeleza mabaya yake, mazuri wameyatupa.
 
Ndo alianzisha BOT
 
Aligombea Ubunge Arusha Mjini akashindwa na Makongoro.

Kweli watanzania wana alergy na vitu vizuri.
 
Du, nilidhani alikuwa mchumi! Kumbe alisoma siasa, historia na jiografia na kuzigeuza uchumi!
 
chama kinakwenda kufa kifo cha mende kama TLP
CCM na vyama vingine mpaka sasa ndiyo vinapumulia mashine. CHADEMA ya Lissu na Heche haiwezi kufa kwa sababu inaungwa mkono na wananchi walio wengi wenye itikadi tofauti! Na hii ni baada ya kujipambanua ka chama cha kupigania maslahi ya Tanganyika, nchi ambayo inanyonywa kwa miaka mingi na Zanzibar kwa kisingizio cha muungano.

Jambo hili linagusa hisia za Watanhanyika wengi wenye akili timamu na wanao jitambua! Pasipo kujali tofauti zao.
 
Sina siasa za kitoto nauheshimu mchango wa Mzee Mtei, yeye Bob Makani na Victor Kimesela walianzisha CHADEMA mwaka ule wa 1992, wote wametangulia mbele ya haki.
Actually, ninakubaliana nawe; huna siasa kabisa. Wewe ni mmoja wa kundi hatari ndani ya nchi hii. Unaumma huku ukipuliza saana; kama unashughulika na watu wasiokuwa na akili.

Huwezi kushabikia hizo siasa za enzi za akina Mtei; halafu leo hii unageuka na kuwa mshangiliaji mkubwa; hapana, siyo mshangiliaji, bali mhusika wa mauaji ya waTanzania.

You're worse than a devil; if there's such a possibility.
The worst scum that has ever been existent in our beloved nation.
 
Mzee Kala chumvi
RIP
MZEE WETU

OMBEA WANAO HUKO ULIPO MAANA
 
RIP Mtei
 
Umeshafika Tengeru msibani?, au ni chawa mpiga kelele wa humu JF!.
 
R.I.P Mzee Gavana,may your soul rest in ertenal peace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…