TANZIA Mwasisi wa CHADEMA, Edwin Mtei afariki Dunia

Sumu utakuwa wewe unayepinga hata usichokielewa.
Hujui ninachopinga?
Ngoja basi nikueleze tena kwa mara nyingine hapa; na naomba tafadhali usidai tena kuwa sijui ninachopinga.

Ninapinga Samia Suluhu Hassan kulazimisha yeye na genge lake kuwatawala waTanzania bila ya ridhaa yao.

Sikubaliani na njia zote anazotumia kuwakandamiza waTanzania ili aendelee kuwatawala kwa nguvu.

Samia Suluhu Hassan hajachaguliwa kihalali kuongoza taifa hili; kwa hiyo napinga juhudi zote zinazofanyika kuhalalisha utawala HARAMU, na shughuli zote zinazotekelezwa na serikali isiyokuwa HALALI..

Kwa maovu yote aliyofanya Samia na Genge lake, ni lazima pawepo na njia ya kuwawajibisha wote waliohusika katika kutekeleza maovu hayo dhidi ya waTanzania.

Hatuwezi kwa njia yoyote kuwasafisha waovu ili waendelee kukaa madarakani isivyokuwa halali.

Usirudie tena kuandika upuuzi kama huo ulioweka hapo juu.
 
Pamoja na mambo mengi lazima uyu mzee fika kesho kutwa udhuria mazishi yake , lazima , Mzee kaacha legacy kubwa ndani ya haki.

Mtu wa kwanza nikifika lazima kumpa Mbowe pole maana mkwe wake uyu.
 
Ni mmiliki wa mtei express au???
 
Kuna haja ya kuiangalia misamiati ya kiswahili upya mfano "Mwasisi wa CHADEMA Edwin Mtei afariki dunia" hii heading nadhani haiko sahihi ilitakiwa iwe "Mwasisi wa CHADEMA Edwin Mtei afariki" pasipo kuweka neno dunia ama "Aaga dunia" hawa mods mbona hawafanyii kazi makosa madogo madogo kama haya? All in all APUMZIKE MAHALA PEMA PEPONI SHUJAA.
 
Unayo haki ya maoni yako ndio ukomavu wa demokrasia wenyewe huo.

Najua kipi kinachofanyika huko serikalini kwamba sio kila kitu kipingwe.
 
Unayo haki ya maoni yako ndio ukomavu wa demokrasia wenyewe huo.

Najua kipi kinachofanyika huko serikalini kwamba sio kila kitu kipingwe.
Mkuu 'Steve', sijui ni kipi kilichokufanya urudi kwenye hiyo mada uliyonijibu.
Ni hivi: nimekwishapata uzoefu zaidi juu yako kwamba sina lolote tena ninalosoma toka kwako na kuliamini kuwa linatoka moyoni mwako.
Huo mstari wa kwanza juu ya demokrasia; kwa mfano, ni 'bull shit'; huna lolote unaloamini juu yake.

Ajabu ni kwamba hadi sasa unajifanya hujui kinachopingwa?
Historia yako naifahamu vya kutosha; watu wa aina yako ndilo tatizo kubwa linaloikabili nchi yetu.

Hadi hapo tutakapofanikiwa kuwang'oa, nchi hii haitatulia hata kidogo.
Timu ya akina Thabit Kombo, na akina Hamza Johari na wengineo huko unakokuita wewe "serikalini".
 
Endeleeni kupoteza muda kwenye siasa za kuuma moto mkiwa mmekunja sura.
 
Endeleeni kupoteza muda kwenye siasa za kuuma moto mkiwa mmekunja sura.
Bado unajiona unao wigo wa kujipa matumain kadri hali inavyozidi kuwa tetei?

Timu yenu nzima sasa inaanza kujifunua taratibu; na nyote wahusika mtabainika tu!

Huyo Thabiti Kombo mpelekee taarifa yake.
 
Bado unajiona unao wigo wa kujipa matumain kadri hali inavyozidi kuwa tetei?

Timu yenu nzima sasa inaanza kujifunua taratibu; na nyote wahusika mtabainika tu!

Huyo Thabiti Kombo mpelekee taarifa yake.
Mkuu haya maisha ya taharuki ni nyinyi mnayaishi, wenye kuzielewa hizi siasa za mitandaoni wala hawana wasiwasi.
 
Mkuu haya maisha ya taharuki ni nyinyi mnayaishi, wenye kuzielewa hizi siasa za mitandaoni wala hawana wasiwasi.
Hizi "siasa za mtandaoni" wewe zinakuwashia nini sasa!
Hizo siasa mlizozoea za kuua waTanzania haziwapi shida nyinyi?
Hamna "wasiwasi" kabisa; yaani haziwagusi!

Ninapokueleza kuwa wewe ni mmoja wa watu waovu, kundi moja na Samia sibahatishi hata kidogo.
Ila sasa ni wazi hamna njia ya kuepa tena matokeo ya uovu wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…