MWASISI wa MUUNGANO wa ZANZIBAR anaitwa nani? Na muungano ulifanyika lini

Jamii walker

Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
39
Reaction score
9
Naombeni majibu.. Mana wazanzibari wengi hawajui hiyo historia kwa maana visiwa vya pemba na unguja viliungana lini?
 
Inavyosemekana hakuna muungano halali wa visuwa hvyo viwil ndo mana nyerere alivsema akijua siku moja pemba na unguja watajihoji. Pia inadhihirishwa katika maoni ya katiba mpya kwa upande wa zanzibar moja ya maoni ni kua na serikali nne kwa maana ya serikali ya muungano, tanganyika, zanzibar, pemba na unguja.
 
Naombeni majibu.. Mana wazanzibari wengi hawajui hiyo historia kwa maana visiwa vya pemba na unguja viliungana lini?

Hakuna muungano wa kisiwa cha Unguja na Pemba (Zanzibar) hivi vipo hivi asili na asili ila km ww unaona vimeunganishwa nipe kumbukumbu yyte ile inayosema km hivi visiwa vimeungana!

Me nawashauri kitu kimoja kama mzanzibar na kama mtanzania mzalendo wa nchi yangu.., tuache kasumba na kuongea maneno kwasababu flani kasema hivi basi iwe hivi hivi.
 
Kama vipo tangu asili basi kumbe ni kweli historia inavyodai kuwa Tanganyika ,unguja na pemba zilikuwa sehemu moja tangu asili,tumetenganishwa na ukoloni
 
Back
Top Bottom