Mwasiti anyang'anywa Benzi alilokuwa akiendesha, mwenyewe azungumza

Mwasiti anyang'anywa Benzi alilokuwa akiendesha, mwenyewe azungumza

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii mkali toka THT Mwasiti Almasi yasemekana amenyang'anywa Benz alilokuwa akitamba nalo hapa mjini baada ya kutoonekana nalo kwa muda
Akihojiwa kuhusu swala hilo amesema yeye huwa haongelei maswala yake binafsi ila baada ya kubanwa sana akasema aliyemhonga amelichukua
 
Hivi vibinti vinakuwaga na mashauzi kweli vinapopata mabuzzy wa kuvihonga, ukihongwa gari wewe bint ujue litakuja kuchukuliwa tu, wahongaji hawaandiki majina yenu kwenye kadi ya gari!!
Sam misago hoyooo kamshamnyang'anya mtt wa watu garii kaaaaaaa
 
Na skuhiz amechapaaa umezd kuwa mmama
 
Mmmh sam misago ana uwezo gani wa kumuhonga mwasiti benzi?? Labda starlet......itakua ilikua mali ya sponsor
 
Back
Top Bottom