Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Bora hata mali ya marehemu, me nafananisha na kujenga kwenye eneo la wazi/barabara ipo siku tu watakuja kupiga XMali ya kuhongwa ni kama mali ya marehemu
Sam misago hoyooo kamshamnyang'anya mtt wa watu garii kaaaaaaaHivi vibinti vinakuwaga na mashauzi kweli vinapopata mabuzzy wa kuvihonga, ukihongwa gari wewe bint ujue litakuja kuchukuliwa tu, wahongaji hawaandiki majina yenu kwenye kadi ya gari!!
wabongo bana dah nimecheka balaaAiseeee kweli kuna watu washamba
unaanzaje kumuonga Gari demu kama huyo...huyo jamaa akimpata Huddah Monroe si atamuonga mpaka ndege
hahaaaaMmmh sam misago ana uwezo gani wa kumuhonga mwasiti benzi?? Labda starlet......itakua ilikua mali ya sponsor
Mmh mwenzangu muhongaji Ana moyo co kwa sura ya mwasiti binamu, bora angemuonga ommy dimpoziHuyo muhongaji ana hila nae.....