bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Acha majungu kwani uzuri ndio kila kitu sisi wabaya atuhongwikwel mapenz sio sura Mtu anakatikiwa paka anatoa benz duh wakat kna kdot ata vitz tu hawajapew
Itabidi ujipange kwa utapeli na wiziMimi ningekuwa mwanamke na nikihongwa gari mda huo huo nalipeleka Temeke kulikata kata! nauza spear!
Mimi nashamgaa mtaani kuna mademu wakali wao wanahangaika na masupa stat tu !Aiseeee kweli kuna watu washamba
unaanzaje kumuonga Gari demu kama huyo...huyo jamaa akimpata Huddah Monroe si atamuonga mpaka ndege
Halafu ukawatambie nin shoga zako sasaMimi ningekuwa mwanamke na nikihongwa gari mda huo huo nalipeleka Temeke kulikata kata! nauza spear!
Nam nilisikiaa hivyo hivyooNilisikia Sam misago wa EATV anakula apo kumbe kulikuwa na sponsor mwingine
Umenichekesha sanaaMkuu usiseme hivyo mdogo wangu,, hivi vimama vyenye sura mbaya hivi huwa vina mambo mkuu asikwambie mtu! Huwa vinanyonya mpaka maviiiiiiiiiii!! Unaweza kuagiza wauze nyumba wakutumie hela kwenye m-pesa mkuu!!
Nyie watu banaBora hata mali ya marehemu, me nafananisha na kujenga kwenye eneo la wazi/barabara ipo siku tu watakuja kupiga X
mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]marehemuMali ya kuhongwa ni kama mali ya marehemu
watu wanajituma sana na inatokana na kujua majukumu yao wanapokuwa kwenye hayo maeneokwel mapenz sio sura Mtu anakatikiwa paka anatoa benz duh wakat kna kdot ata vitz tu hawajapew
hawa ndo wanaohonga nyumba wanazokaa wazaziAiseeee kweli kuna watu washamba
unaanzaje kumuonga Gari demu kama huyo...huyo jamaa akimpata Huddah Monroe si atamuonga mpaka ndege
[emoji3][emoji3][emoji3]Alaf mnasema wanaume wakatili imagine mtu kama mwasiti tunampa benz .....ukalim wetu hauna mfano
Kuliko kubaki hivyo na dudu nimesha tiwa bora nipige hivyoHalafu ukawatambie nin shoga zako sasa
Ndo maana wewe ni jambaziMimi ningekuwa mwanamke na nikihongwa gari mda huo huo nalipeleka Temeke kulikata kata! nauza spear!
Mh, hadi huyu anapigwa benz. Kweli kupenda mastaa ni ugonjwa wa baadhi ya watuMsanii mkali toka THT Mwasiti Almasi yasemekana amenyang'anywa Benz alilokuwa akitamba nalo hapa mjini baada ya kutoonekana nalo kwa muda
Akihojiwa kuhusu swala hilo amesema yeye huwa haongelei maswala yake binafsi ila baada ya kubanwa sana akasema aliyemhonga amelichukua
Mi nilikuwa naogopa kusemaAiseeee kweli kuna watu washamba
unaanzaje kumuonga Gari demu kama huyo...huyo jamaa akimpata Huddah Monroe si atamuonga mpaka ndege
Ulimfuata baada ya kuambiwa ni fundi wa uroda au alikuvutia?Mkuu acha masihara hayo. Huwezi kujua kwa nini amehongwa Benz. Nilikuwa na demu yaani kwa umbile na sura kam Mwasiti. Huyo msichana ni mjuzi balaa yaani si mchezo. Nimefanya ngono na warembo wa kila aina wenye chura na sura za nguvu lakini hawajawahi kumpata huyo demu. Pia hata sasa nimeoa lakini wife hajawahi kumfikia hata kidogo. Kwa hiyo haya mambo ya URODA yaone hivi hivi yana siri kubwa sana..