miss lucy
Senior Member
- Oct 17, 2014
- 109
- 15
Msanii Mwasiti ametangaza rasmi kumtangaza mpenzi wake ikifika mwezi wa tatu.
Ametoa uamzi huo wa kutangaza kutokana watu wengi kumuuliza kuwa ana uhusiano na Sam Missago naye kukataa na kudai ni marafiki kwa takribani miaka saba ,sasa mwezi wa tatu tusubiri kuhusu mpenzi mpya.
Chanzo: FNL EATV