Kama Rah P.
Sam misago???
Huyo jamaa namuonaga dogo sana na zile swaga zake kama mtoto wa secondary vile!
Yani kweli taste tunatofautiana naona Sam ana mambo ya kitoto na mwasiti katulia
Huyo MWASITI anaimba kwaya au Taarabu?
Hata mie pia namuona kakomaa sana aiseee halafu bado anajiona mdogo
Mwasit Almas hajakomaa sema tu hana nyama,mbona dada yake(Fatma Almas Nyangasa) anavutia na soft tu?
Yani kweli taste tunatofautiana naona Sam ana mambo ya kitoto na mwasiti katulia