Wakuu, naomba kufahamu chuo kimoja kinaitwa Mweka training centre kipo Kimara, Dar na kinatoa kozi za afya. Je, kimesajiriwa na nacte? Na kama kimesajiliwa kwanini wahitimu wake hawakukiona kwenye orodha ya vyuo wakati wa kufanya application za ajira?