1 >> Mwekezaji anatafutwa kwa ajili ya Kujenga au Kukarabati ( itakavyompendeza na tutakavyokubaliana) Kuendesha na Kusimamia.
2 >> Nyumba ipo Mkoa: Kilimanjaro, Wilaya: Moshi Mjini, Barabara: Mawenzi, Mtaa: Liwali.
3 >> Fursa zinazopatikana eneo la mradi: Jirani na Soko la Manyema, Shukrani Snaks, West Point Hotel and Apartments.
4 >> Mwekezaji ikimpendeza: Makazi, Ofisi, na Biashara.
5 >> Mawasiliano: Mhitaji, Ushauri, Maoni, kupitia Private Message.
Natanguliza Shukrani Zangu.