Mwekezaji ni nani na sifa yake ni ipi?

Mwekezaji ni nani na sifa yake ni ipi?

Mwakawasila

Member
Joined
Oct 23, 2024
Posts
23
Reaction score
20
MWEKEZAJI Ni mtu Gani ?

Ni mtu anayeenda hatua moja mbele ya Mfanyabiashara

Hapa sifa mojawapo ni kuwa na pesa au mkondo wa kuingiza fedha

Mfano Mimi Nina uwanja sehemu ya soko na Sina uwezo wa kujenga

Namfata mwenye uwezo anajenga Kwa mkataba kwamba achume Kodi Kwa Miaka mingapi baada ya hapo atanirudishia Mali yangu

Natafuta mfanya BIASHARA Asiye na mtaji nampatia Hela yangu arudishe kwa riba

Mkulima Hana Hela ya MBOLEA nanunua mifuko nawakopesha Kwa fedha ya juu

Kwa masomo zaidi huwa nafundisha pia status

Save hii no nicheki pia whatsap Kwa elimu zaidi MWAKAWASILA
0744980339
 
Ah wewe Fundisha huku huku huko kwingine hutupati bhana 😑
 
Back
Top Bottom