A
Anonymous
Guest
Kumekuwepo na malalamiko makubwa kuhusu uwekezaji uliofanyika katika soko la CCM Katoro Geita, Wapangaji waliolipia vyumba katika soko hilo mwekezaji alidai kwamba wanalipia kwa kununua saiti, yaani unaweza ukawa umelipia chumba 2M maana yake unalipa na saiti ikitarajiwa kwamba mwaka utakaofuata kodi itapungua, Mfano iwe 1.5 M kwa mwaka.
Sasa anachokifanya mwekezaji wa soko la CCM kwa sasa ndugu Rasheed Kuhanzibwa anakuwa anawafuata wapangaji wake hata kama mtu alitoa hela anafika anawaambia baadhi ya kwamba waongeze hela.
Mfano mwaka wa kwanza unaweza ukawa ulitoa 2M, anakuambia utoe 5M au zaidi ya kodi uliyotoa mwanzo lasivyo chumba chako atakiuza. Yaani mwaka wa kwanza kodi labda ulilipia 3M, mwaka unaofata anasema uongeze 5M maana chumba chako watu wanakipenda atakiuza, wakati mwanzo alikuwa anaomba hyo hela akidai amekupa na saiti moja kwa moja labda ushindwe kulipia kodi yake.
Lakini sasa hivi anatumia mbinu hii ya kitapeli huku mkataba wake ukiwa haueleweki na una mapungufu mengi, na hajawaambia Bei elekezi ya wapangaji wake kwamba kodi itakuwa kiasi gani.
Pia soma