Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,655
''Bila stadi hizi za kazi kujengwa katika uzalendo watu wetu hawataweza kuwa na manufaa kwa taifa. Ni lazima uzalendo huu uwepo ili watu wetu wajue ni nini wanajenga na kwa faida ya nani. Kwahiyo kuendelea kwa taifa letu kutategemea sana watu wetu wenye stadi za kazi pamoja na uzalendo wao katika kujenga taifa.
Ni katika kujitolea huku sisi kama taifa tutapiga hatua za kimaendeleo. Kwahiyo ni lazima elimu yetu ibadilike ilenge katika kujenga taifa badala ya kuelimisha watu kwa manufaa binafsi. ''
By shaaban yusuf.;
Philosopher and political thinker kutoka katika kitabu ( kiu ya uzalendo)