Matokeo kidato cha nne kuwa mabaya hayakuanza kwa 2012 tu!!
Kusema kweli tumetoka mbali na safari yetu hii kwa hawa wadogo zetu na watoto wetu, kwa msaada mkubwa na mitaala yetu ya Nyambari Nyangwine.
Kwa uchache tu Hii ndo safari yetu ya matokeo ya form 4 kwa miaka minne iliyopita;
MWAKA 2009:
-Jumla ya watahiniwa 351,152 walifanya mtihani.
-Watahiniwa 42,672 sawa na 17.85% walifaulu katika Division 1 hadi 3.
-Watahiniwa 130,651 sawa na 54.66% walipata Division 4.
-Watahiniwa waliofeli kwa kupata Division 0 ni 67,708 sawa na 27.49%
MWAKA 2010:
Mwaka huu ni moja ya mwaka uliokuwa na matokeo mabaya kabisa ila cha kusikitisha habari kubwa ilikuwa ya wasichana kuongoza kwa kuchukua nafasi 8 kwenye wanafunzi kumi bora. Ila kiukweli hali ilikuwa mbaya sana na hata Dr. Ndalichako hakutaka kutoa matokeo in details zaidi.
-Jumla ya watahiniwa wote ilikuwa 441,426 huku watahiniwa 177,021 sawa na 50.40% walifaulu kwa kupata Division 1 hadi 4, waliobaki ni 0.
MWAKA 2011:
-Jumla ya watahiniwa ilikuwa 426,314.
-Waliofaulu kwa Division 1 hadi 4 walikuwa 53.37%.
-Division I: 3,671 Division II: 8,112 Division III: 21,794 Division IV: 146,639
MWAKA 2012:
-Jumla ya watahiniwa 240,903 sawa na 60.6% wamepata Division 0.
-Watahiniwa 23,520 sawa na 5.16% wamefaulu kwa kupata Division I hadi Divion III.
-Watahiniwa 103,327 sawa na 26.02% wamepata Division IV.
Watanzania wenzangu nadhani mnaona tunakoelekea na safari yetu hii, lakini bado wale jamaa wa mjengoni wanakataa kujadili hoja ya elimu yetu!!
Kwa Matokeo aliyoyatangaza Kawambwa jana; Div 1 (0.4%), Div 2 (1.6%), Div 3 (3.9%), Div 4 (26.0%), Div 0 (60.1%), ni jambo la kusikitika sana sana kwa kila mtakia mema nchi yetu!! Yaani Kwa matokeo haya, Leo ilibidi bendera ya Taifa ipepee nusu mlingoti!!