acha janjajanja yako banaaa..
Wee huoni tangazo lako la vidonge vya foreverliving?...au ulikuwa unajuwa umetuwekea sahani ya wali samaki na matunda kibaooo plus mboga za majani na glass ya maziwa????
haya kama unatangaza lishe wapi ushawahi kusikia hoteli menu inavidonge vinne vya calcium na magnesium ulizoandika hapo???
Kwa kawaida hotelini huwezipata vitu vizuri na ushauri mzuri kuhusu afya sbb pale ni biashara inatakiwa. Mtu ataishia tu kujilamba kwa kula vyakula ambavyo ni artificial na kutoa fedha nyingi aagize na mvinyo pia ndo mambo kwake yaende barabara kwa mawazo yake. Kwa ushauri mzuri ni kuwa Hotelini tuvilavyo vingi ni vyakula artificial na vyenye madhara katika miili yetu huku tukiviacha vyakula vizuri ambavyo mara nyingi tunaviona ni vya wasio na fedha.