kwahiyo mamdogo na we ukamkubalia kabisaNipo mpenzi, babako mdogo kaniwekea muda wa kuingia huku...
NimesomaaaaaThank you ,lakini umesoma vizuri huu Uzi usije nichezea akili[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Umesahau kule kwetu tumefundwa kutokuhoji maamuzi ya baba hasa yakiwa yamefanyika in good faith?kwahiyo mamdogo na we ukamkubalia kabisa
Ok basi vizuri naimani huu Uzi utatuanzishia sayari nyingine ya mapenzi mazuri na yenye malengo na tija.[emoji8] [emoji8]Nimesomaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ok basi vizuri naimani huu Uzi utatuanzishia sayari nyingine ya mapenzi mazuri na yenye malengo na tija.[emoji8] [emoji8]
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
bamdogo jamaan upendwe vipiiii lakini ebu angalia mamdogo mzigua anavyokupenda jamaanUmesahau kule kwetu tumefundwa kutokuhoji maamuzi ya baba hasa yakiwa yamefanyika in good faith?
Sikua na jinsi zaidi ya kufuata vile kungwi kasema mwanangu..
Unancheka kuomba dua zote izo
Wallah sikucheki nimefurah mwenyew tuUnancheka kuomba dua zote izo
Basi hongera umepata mume bora ambae bdae atakuja kuwa baba bora wa watoto wetu, na sina wasi wasi na wewe kuto kuijua PMWallah sikucheki nimefurah mwenyew tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124]Basi hongera umepata mume bora ambae bdae atakuja kuwa baba bora wa watoto wetu, na sina wasi wasi na wewe kuto kuijua PM
SweetheartAssuredly, I didn't get into your colonies(colony)...
Hivi mwanzo kumbe ulikua na Kaboom mwanamke weweRogie ila Honey Faith asione
Ila most of all is my darling husband, the one and only Kaboom[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Dreva Niko makini ,,siunajua dereva wa kike yuko makini kuliko wakiumeHewaala.
Tusipate ajali kwenye gari lako tu maana wa mbele tutakufa haraka
Baby we unanijua zaidi... ulisema haviwezi kuingia kwenye huu mzigo!! Nikaghairi kuchaguaJuzi nikasubiri nidaiwe vifuniko vya asali hadi nikachoka.
Nishaghairi sivilipi tena
Darling sielewi hapaSweetheart
Teh
Yes babe....