Msalimie huyo mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]Habari za weekend mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msalimie huyo mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Naam!Nakazia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bebee sijaelewa hapa vizuri ni umeniita,au mwanaume ninayekuvutia?
Maana imekaa kimchakato
Naam!Mie penda wewe apo
Bebee hebu funguka..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bebee nami bado natafakari nikuweke kundi gani[emoji134]
Unaitwa na auntie wanguNaam!
Nimefika
Uzee umeanza lini eti[emoji134][emoji134][emoji134]
Uzee tatizo auntie.
Hahaha hahahaNaam!
HahahahaHahaha hahaha
Umeanza uchochezi wako eeehhh