Sasa nifanye nini jamaniiiHahahaha
Nimependa jinsi ulivyofunguka
Tangu unazaliwa.Uzee umeanza lini eti
Mkwe nakusabahi tu.
Mkwe nakusabahi tu.
Umefunguka vizuri,nimependa kwa kweli!Sasa nifanye nini jamaniii
Kila mtu kawahiwa nikaona nibaki na mleta mada
Mkwe sijui unajificha wapi hadi huyu mtoto anafungukia watu tu alokutana nao barabarani[emoji134][emoji134][emoji134]
Nimeona bebee,kajitahidi kufunguka vizuri
Mkwe mie bado nakumbuka vitenge vyangu, hivyo za masiku sio nzuri.
Na kafumaniwa, basi raha ilioje[emoji134][emoji134]Nimeona bebee,kajitahidi kufunguka vizuri
Vitenge wanakula shangazi zako hao...Mkwe mie bado nakumbuka vitenge vyangu, hivyo za masiku sio nzuri.
Duuuu
AiseeeTangu unazaliwa.
Majukumu yamezinizidi sana..Mkwe sijui unajificha wapi hadi huyu mtoto anafungukia watu tu alokutana nao barabarani[emoji134][emoji134][emoji134]
We mdaka chozi acha kuchochoe banaUmefunguka vizuri,nimependa kwa kweli!
Hahaha hahahaNa kafumaniwa, basi raha ilioje[emoji134][emoji134]
Umesahau tu mwili mmoja!Majukumu yamezinizidi sana..
Ila nimemruhusu kuchepuka..! Mwili si wake kwani..
Sent using Jamii Forums mobile app