Usiniambie baba yako anachepuka nizimie mimi.Ndo anachepuka mtu mwenyewe
Hahahahaa.....
We mbona alikuwa amekuficha ficha??? We kondakta
Sure [emoji122]Asante sana angalau nimepata kaheshima kwenye huu uzi!!!!Ni chit chat ila kuna kaukweli ndani yake usipotajwa!!!!
Si wewe hapo MtcheewUsiniambie baba yako anachepuka nizimie mimi.
Dota hebu kalale.Uchochezi wa mkaa
Teh teh, ili mwingine akamue sio?Itabidi mmoja awe mshika pembe
Aiseeeee!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndo nimetoka kuamka, nalala mchana siku hizi nisije nikapatwa na juaDota hebu kalale.
Weeeeeh!! Mie sijawahi kuchepeka, nina njia kuu tu ila sikumbuki idadi[emoji85]Si wewe hapo Mtcheew
Haki hapa sina mtoto!! Ni nini hii unafanya dota, nina RB yako.
Nitaje tu mama ata usiogope mwaya🙂Mie namjua kwa jina halisi naogopa kumtaja ni muheshimiwa flani hivi
Haya bhana, kila la kheri kwenye kuzifaidi "Neema za Allah"Huyo ndio mshika pembe