Ukimaliza kuwafungukia wote usinisahau na mimi....[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
AkuuuuAu kama hukumbuki njia najitolea kukushika mkono
Hivi kwani sio wewe?!Jamiaa sijui anajiamini mini
Itabidi nibadili Avatar raia wanaweza wakajua ni mimi
Mapacha nawasalimu tuu jamaniHivi kumbe hadi leo sijapata wa kunitag humu.
[emoji848][emoji848]Hiii avatar na id inanikosesha vitamu aiseeh
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Au kama hukumbuki njia najitolea kukushika mkono
Jina si lile lile?Akuuuu
We niadd tuu
Mi nawadeku tu🙆🙆🙆Auntie sijui sakayo amekula nini leo! Haya ndio majibu yake leo yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipi hilooJina si lile lile?
Siyo mimi yule tumefanana Avatar tuHivi kwani sio wewe?!
MmmhSiyo mimi yule tumefanana Avatar tu
Si ndio hilo hilo,au kuna lingine?Lipi hiloo
Sakayo mimi jamani
Inawezekana mimi ndio nilitoa kwakeMmmh
Ngumu sana kuamini, alitoa wapi avatar yako wewe mdaka chozi
Hamna lingine walaSi ndio hilo hilo,au kuna lingine?
Sio rahisi kabisaaaInawezekana mimi ndio nilitoa kwake
HahahahahahaUzi wenyewe umejaa watu kama sita hivi wanajichatisha mwanzo mwisho!
Ni vizuri sana mkiendelea kujivutia wenyewe
sana yeye kila saa ugomvi tu yule mtuAnanogesha sana mambo aisee
Sio rahisi kabisaaa
Niko Pestana hapa,uko wapi tusalimiane!Uzi wenyewe umejaa watu kama sita hivi wanajichatisha mwanzo mwisho!
Ni vizuri sana mkiendelea kujivutia wenyewe
Mapacha nawasalimu tuu jamani
Niko Pestana hapa,uko wapi tusalimiane!
Hahaha hahaha hahaha hahahaNaomba namba za mganga unaemwamini...yan hakuna hata nilipotajwa kimasihara?,[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app