Hamna bana...Mnatutenga sana
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Sawa haina mbayaa!
Daaaa gundu hiliiHahaha hahaha hahaha hahaha
Sina kabisaaa jamanii
Aah wap yaani salamu nayo hadi nijipitishe.Hamna bana...
Tunawapenda kimya kimya
Nakuongezea nyingine mbilii
Pole mno jamanii
Tatizo unatekwa sana jamanii...Aah wap yaani salamu nayo haji nijipitishe.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Aah mkubwa me nilishaacha hapo kitambo sana mkuu. saivi niko mbeya huku kuna kazi mzee.Niko Pestana hapa,uko wapi tusalimiane!
Hivi wewe Lamkyeku uko wapi siku hizi ?[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
karibu.....Jaman kabanga huwa nampenda sana huyu member kwa comment zake fupi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkwe mie bado nakumbuka vitenge vyangu, hivyo za masiku sio nzuri.