Hhahahaaha
Tunajazia hapo hapo... si unajua wants are unlimited?Mwendelezo??
Toka uzi uanzishwe wengine umu washa vutiwa na zaidi ya nne.
Sasa sijui wadondoshe wapi karata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mmefananaJamiaa sijui anajiamini mini
Itabidi nibadili Avatar raia wanaweza wakajua ni mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapacha nawasalimu tuu jamani
Huu uzi umefukua wengi sana
Abeeh [emoji134][emoji134][emoji134]
Tupogo
Hata sikumbuki kabisa na sijui kama nilifunguka
Hata sikumbuki kabisa na sijui kama nilifunguka
Vipii wewe