Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
[emoji23][emoji23] ahsante sana mkuu
Wewe unataka nirudie tuuu
Hahahaha,Kweli kabisa,sijaona
Kuna nini hapa kiongozi? Peana mimi summary puliiz
Kwa kweliUnaweza kuona Uzi unachanja mbuga kwa speed ya Kimondo kumbe "Umepatwa" Yaani umeng'ang'aniwa na member wachache hawataki kuuachia.
Jamani kuna watu wanataka kututaja ila wanakosa nafasi mmekaba Uzi.
Sincerely,Bachelor Sugu
Sent by Tecno Camon11 PRO using Jamii Forums mobile app
Naam?@Asprin, kaizer
HabariNaam?
Luv youHabari
Sijaona,rudia huko ukinimentionWewe unataka nirudie tuuu
SawaSijaona,rudia huko ukinimention
Ndio unaamka nini mchuchu [emoji8]Sawa
Nimeamka kitaaambo sana mimi! Meona nikuje ku refresh huku kidogooNdio unaamka nini mchuchu [emoji8]
Nimeamka kitaaambo sana mimi! Meona nikuje ku refresh huku kidogoo
Dah...siyo dhambi kurudia...mvuto ni dynamic...hubadilikabadilika [emoji23][emoji23][emoji23]