Wewe acha bhanaNipo hapa[emoji23] [emoji23]
Yaani....Huyo ndio komesha yako
Ha ha ha ha... Sijui kupatwa mkoa gani? Au naye ni Rujewa Mbeya?
Nikiachika ujue nawe unaachika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yupo lakini amebadili IDNahrene
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitataja wengi mnooooo,hadi nitajisikia vibaya kama nikiwasahau wengine.
Itoshe tu kusema nawapenda wakaka/baba wote wa JF.
Nina marafiki humu,kaka and of course my baby nae ni JF member[emoji131][emoji132]
Huhuhuuu [emoji126][emoji126][emoji126]
Aache nini?Wewe acha bhana
Endelea tu na uchochezi wako, nitampa kazi muda sio mrefu.Yaani....
Sina hamu kabisaa
Mumie vpAache nini?
Tatizo wewe mwenyewe hueleweki...[emoji23].Wewe acha bhana
Yeaaaah......Kumbe uliporwa tonge mdomoni?
Ndio uanaume huo..
Enhe...Jamni
Hawa watoto wa siku hizi taabu tupu!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Douta kakupata
Yupo anapata kigugumizi ci wajua tenaHahqhh naona umekagua uzi wote bila bila....ila vuta subiraa
Naskilizia tuEnhe...
Naona mnajikumbushia ujana wenu....Enhe...