Hahahaaaa!! Ngoja nimbadilishe, haujambo shemdarling? Nimekumisimo.Huyo mdori umempaka damu??? Au
Sijambo kabisa. ShemejiHahahaaaa!! Ngoja nimbadilishe, haujambo shemdarling? Nimekumisimo.
Sema ulishamzoea, mzoee na huyu tu.Sijambo kabisa. Shemeji
Nimekumisi pia. Ila yule mdori wa pinki daaah.. . Nadhani ndio nampenda
Eeeh huyu wa sasa atleast.....saafi kabisa.Sema ulishamzoea, mzoee na huyu tu.
Hahahaaa! Yule alikuwa anakutisha?Eeeh huyu wa sasa atleast.....saafi kabisa.
Yes. Yule rangi yake lol..kajimwagia tomato sause.....!Hahahaaa! Yule alikuwa anakutisha?
Thats my love [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Alitumbukia kwenye coral paint, hahahahaaa!Yes. Yule rangi yake lol..kajimwagia tomato sause.....!
Mmmmmh ..na ulivyo mkali....Alitumbukia kwenye coral paint, hahahahaaa!
Mkuu hali inavyoendelea hapa,inaonyesha tutasubiri kutajwa mpk yesu atakaporudiSie wenye damu yakunguni hatuwazi kabisa kama tutatajwa.labda ngoja tusubr
Hahaaaaa!! Bahati nzuri nampenda sana, hivyo niliongea nae kwa upendo tu.Mmmmmh ..na ulivyo mkali....
Sidhani kama hakuchezea kichapo kiana...