Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,129
Hahaha [emoji2][emoji2] kawaida tu mi sinaga shobo.Hahahahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Woga wako ndo umaskini wako, pambana
Sana... But nilimkamata ugoni..
Na leo na revenge
Afadhal maana nilijua mimiSiyo wewe!
kwani unataka uniambie wako wangapi..?? and it's just chit chat, so ungewapa tu shout out wajisikie amani siku ipite....Its uncanny but imetokea.
[emoji11]Hahaha [emoji2][emoji2] kawaida tu mi sinaga shobo.
Itakuwa umeboreka sana pole madam.Kwanza sija disclose privacy ya mtu.
Pili ving'ang'anizi wengi mnamaliza ila bado anaendelea kudisturb.
Mwisho hata kama ni kuchati, mawazo ya mtu yaheshimiwe.
Nakupenda pia sana tu!
Umeanza kujirudi sasa[emoji23]Usiogope mkuu, I wont disclose it....no matter anyhow, si unajua rules za JF.
Tnx my bestito,....ungwana ni muhimu sana.Itakuwa umeboreka sana pole madam.
Pole sana mamie binadamu wabaya sana....Usiogope mkuu, I wont disclose it....no matter anyhow, si unajua rules za JF.
Unajua ni jinsi gani nakuelewa wewe na nyuzi zakoo....unaua mbayaaaa!!!Sweetiepie Unajua nilikuwa nasubiria mualiko wako, sasa nimekutafuta humu sijakuona nikasema enheee kidume nimetoswa
Na kweli kwani wataondoka nayo?kwani unataka uniambie wako wangapi..?? and it's just chit chat, so ungewapa tu shout out wajisikie amani siku ipite....
No I was right and always I will be.Umeanza kujirudi sasa[emoji23]
Mwambie huyo,anajiamini sana.Hivi ww hushiki pembe kweli?
Nikajua wewe brazaPole sana mamie binadamu wabaya sana....
Kwanini aboreke!Itakuwa umeboreka sana pole madam.
Budaa mi nimemupenda sana atoto,,tafadhal usiniwekee vikwazoAnga za wenyewe hizo bob. Kaa mbaleee
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ww hushiki pembe kweli?
Huu nao ni uchochezi!!Hivi ww hushiki pembe kweli?
Mwambie huyo,anajiamini sana.