KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
[emoji122] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji76] [emoji76] [emoji76] View attachment 392962View attachment 392963
Nakupenda wewe mtani wangu ... you are the choice of my heart...
QUIGLEY kwa lugha ya hili jukwaa anaitwa "mshika pembe"
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ndugu naona makopa kopa yameshamiri ukanda huu....
Ni dhahiri kuwa vijana wanapendana sana.....
Hainaga shida maadam kubonyeza kidude ruksaaaNakupenda wewe mtani wangu ... you are the choice of my heart...
QUIGLEY kwa lugha ya hili jukwaa anaitwa "mshika pembe"
Yanatoka moyoni...Haya maneno yanatoka moyoni au kwenye figo ya kulia....!???
Jifariji tu coz hamna namna nyingine..Hahaha chezea patience123 wew, anakudanganya ilhali katokea kwangu, kwako afuata mkwanja, bali kwangu afuata kifimbo cheza
Najifariji nin wewe wakati hata kufuli umesahau huku kwng?Jifariji tu coz hamna namna nyingine..
Mpwa mbona unanionea wivu? Yani kupendwa na mtani wangu unakuwa na wivu, sisi tunamaanisha mpwa!![emoji12] [emoji125]Haya maneno yanatoka moyoni au kwenye figo ya kulia....!???
Tangu lini watani wakafanya kweliMpwa mbona unanionea wivu? Yani kupendwa na mtani wangu unakuwa na wivu, sisi tunamaanisha mpwa!![emoji12] [emoji125]
Mhh...Najifariji nin wewe wakati hata kufuli umesahau huku kwng?
Mambo😀Kwa heshima na taadhima mkuuPatience123 shukrani.
DadaMhh...
Ewaaaaa, kiongozi KikulachoChako sasa majeshi yote kwa dada Sky Eclat. Mimi na mtani darling tumemaliza kazi yetu.
Eti ni kweli hakunaga ushemela?Yanatoka moyoni...
Kwenye kina cha moyo wangu..
Dogo, kuwa na adabu kwa kaka zako.Eti ni kweli hakunaga ushemela?