Mwendelezo: Funguka mwanaume unaevutiwa nae JF

Ikawa mchana ikawa usiku (siku ya kwanza )
Ikawa mchana ikawa usiku (siku ya pili )
Ikawa mchana ikawa usiku (siku ya tatu )
Kama bado hujatajwa zipo siku nyingine nne zinakuja almuhimu kusoma uzi wote.
 
Kuna mwanaume bado anasubiri kutajwa?. Teh teh hapo ndio utajua JF inawenyewe..... Watu Wana status quo zao hapa, humu Kuna cycle mpaka ya wachawi
[emoji23][emoji23][emoji23] and they all knows themselves, unaweza subiria kutajwa ukahic jinsia yako sio halisi....
 
Mkuu, umenifanya nicheke mpk natokwa na machozi.subira yavuta heri,usichoke kusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…