Iceman 3D na nokia83 ...We wa kwako nani?
Sana mapigo ya moyo yanaenda speed kama nimekimbia kilometre 800umefurahi sasa [emoji8]
hahahhah sitaki kuchunguliwa na ww ngoja nimuulize baby nn ninacho [emoji23]Nyani hajioni kundule hata siku moja...njoo nichungulie nikuambie
hahahahSana mapigo ya moyo yanaenda speed kama nimekimbia kilometre 800
[emoji1] [emoji1]
Achana na mapenzi una dead hivi hivihahahah
mapenzi kitu kingine watu wanajiua sbbu ya mapenzi [emoji23]Achana na mapenzi una dead hivi hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wote hao unawa control vipi kuwapangia zamu?Iceman 3D na nokia83 ...
Hahahaa wawili tu jaman. HahahahaWote hao unawa control vipi kuwapangia zamu?
Yaani acha tu unaweza kwenda hospital ukaomba kitanda ulazwe japo hujui unachoumwa japo kweli hauko vizuri.mapenzi kitu kingine watu wanajiua sbbu ya mapenzi [emoji23]
Nimerudi nowUlipotea
Wawili lakini siku wakikutana kwenye point moja panakuwa hapatoshi.Hahahaa wawili tu jaman. Hahahaha
Nooo nokia83 wa kunichekesha tu ana vituko na ana madem wengi..... Iceman 3D kidooogo tunaweza kwenda coco kupunga upepo. (jokes bhn)Wawili lakini siku wakikutana kwenye point moja panakuwa hapatoshi.
Kwahiyo hao ni wapenzi watazamaji? Basi naomba mimi unifanye officialNooo nokia wa kunichekesha tu ana vituko na ana madem wengi..... Iceman 3D kidooogo tunaweza kwenda coco kupunga upepo. (jokes bhn)
Ngoja nimwambie ice akikubali sawaKwahiyo hao ni wapenzi watazamaji? Basi naomba mimi unifanye official
Huyo hatakiwi kuambiwa kwa maneno, huyo atakuelewa kwa vitendoNgoja nimwambie ice akikubali sawa
HahahahHuyo hatakiwi kuambiwa kwa maneno, huyo atakuelewa kwa vitendo