Njoo kwangu nitakupenda mpaka utasahau kuongea, nianze kukufundisha upyaHahahah
Lakin ipo siku utaleta malalamiko kama ya dada yuleee!![emoji23] [emoji23] [emoji23] natania mkuuNjoo kwangu nitakupenda mpaka utasahau kuongea, nianze kukufundisha upya
Haahaaa, sitolewi out kizembe mkuuLakin ipo siku utaleta malalamiko kama ya dada yuleee!![emoji23] [emoji23] [emoji23] natania mkuu
Hujanisoma, kumbuka kuna mdada ulimleta hapa baada ya ile out ya shukraniHaahaaa, sitolewi out kizembe mkuu
Nimemuelewa mkuu, sasa siku hiyo nisingekuwa na chochote si simu zetu zingebaki? Ndiyo maana nakataa kutolewa out kizembeHujanisoma, kumbuka kuna mdada ulimleta hapa baada ya ile out ya shukrani
Yaani kama sina pesa ya kutosha sitoki kizembe kabsaaNimemuelewa mkuu, sasa siku hiyo nisingekuwa na chochote si simu zetu zingebaki? Ndiyo maana nakataa kutolewa out kizembe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] true my hpo ulipotia conclusion!!Unaweza
Ila it is the worst experience kama uli set the bar very high, unaweza kutana na dissapointment, ila kama uli mfikiria wa kawaida tu ukimkuta wa ajab ajab hata haita kushangaza.
Ila dont try this at home [emoji23]
Mond jmn nickutaje coz ya nn tena!!napendaga tu nyuzi twako [emoji18] [emoji18] [emoji18]Watu wenye nyota zao wanatajwa sisi wenye reli tunakamyagwa
Ice hukoseagi,nimefika my mond hya fungua moyo [emoji4] [emoji4]Atakuja tu wala usijali
Nafukua makaburiMie Last emperor ......nampenda mpaka naumwa.
penzi lake tamu