Kama na mimi nimo sijabadili ila napumulia kando tu.Hahaha
Sasa nani zaidi ya T antie, Unataka nikose ndoa kweli???
Halafu wengine siwaoni tena sijui wamebadili id???
Hiyo ilikuwa kabla bhana kaka....Kwahyo yule mwenye heruf ya peke ake ana mashabik tayar
Wale siwaoni jamani, wengine wameenda siasani..., wengine nawaona humu ila naona wamewahiwa tayariKama na mimi nimo sijabadili ila napumulia kando tu.
Hiyo ilikuwa kabla bhana kaka....
Ila wapo ambao kweeli wapo ndani ya mtima
AkuuuEmbu ntajie waidi tu mwaya
Kwani nilimtaja nani?Hivi ulie mtaja ndo mpya au mpango wa kando?
Mana nilitoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Sasa nani zaidi ya T antie, Unataka nikose ndoa kweli???
Halafu wengine siwaoni tena sijui wamebadili id???
Akuuu
Unataka niachike mie au...
Usicheke antie jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa unikumbushe tukiwa wawili tuuuC unaniambia kisiri siri jaman
Hapo ndo patamuAlafu umemtaja kwenye uzi wa daby!!