Ukacheka nini sasa!!! Hivi ule wa wanawake ulimtaja nani?Ujue nimeutafuta nikacheka
We mwanamke hebu usifukue makaburi hukoAlafu umemtaja kwenye uzi wa daby!!
Nipo sipo mzima weweManga upoo
Atakuwa keshaedit bhanaUkacheka nini sasa!!! Hivi ule wa wanawake ulimtaja nani?
Mie mzimaNipo sipo mzima wewe
Hafu ile id huta amini ndo nilisajili wakanambia ina mtu nika ahirisha myezi kibao kwa hasiraKwani nilimtaja nani?
Bado nimefichwa apa nachungulia tuMie mzima
Ulifichwa wapi wewe
Teh teh teeeeh!!!Yaani huyu mwanamke anitaje mara elfu ili kulipiza Alichofanya.
Sio kwenye uzi wa Daby tu ila ni Joseverest kwenye uzi wa Daby
Kidooogo sana ila siku zimeisha tayarAseeh nzuri
Swaumu naona leo imelegeza
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Usicheke antie jamani
Alimtajaga nani?Atakuwa keshaedit bhana