We si ndio zako!! Ulimpachika udungu ili usistukiwe.
ndio hapo bamdogo mwambie
acha uchochezi ujue[emoji3][emoji3]
D ndio nani? Daby Dabo?hahahha shangazi sitaki ujue hivi kwa nini lakini Baba D njo umsikie
Sasa hapa mwanamke akishamtaja mwanaumeNdio zake mzoee tu. Anatongoza kutwa mara tatu kama dozi.
shangazi vipiiii nimesema Baba DD ndio nani? Daby Dabo?
Am lonely
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo chachaSasa yeye anapumuaje?
[emoji23] [emoji23] wewe mimi sio wifi yako kwa nini huelewi??Wifi ni nini hiki!!!
Ohooooo!!! Mkwe kati ya makosa hautakiwi kufanya maishani ni kucopy trait za daby, yaani hata kwa bahati mbaya usithubutu.Sasa hapa mwanamke akishamtaja mwanaume
Ni sawa sawa na mwanaume keshatongoza [emoji3][emoji3]
Ila Daby ni brooh ! So i am copying some of his traits..
Haya anti.shangazi vipiiii nimesema Baba D