Basi nifute hata hayo machozi basi walau roho yangu ifurahi
My wiiiii mwenyewe huyo. Kaka yako anakusalimia.[emoji23] [emoji23] wewe mimi sio wifi yako kwa nini huelewi??
Anao rundo hadi ye mwenyewe huwa anawasahau.
Mbona haujataja?Kapatikana?!, thank god! 🙂
hahhaha ila shangazi wewe ni changamoto aiseeHaya anti.
hahhaha jamaanKapatikana?!, thank god! 🙂
Mumewe ni nani mbona hata simjui?Kama aliachika kwa mmeo hafai
Yani ukitaka nikusamehe kafute pale
Hivi umesahau mchana ulivyonisindikiza ATM! au unataka bailojia ya kina espy inandame mim.. haya tu wewe
Ganja gal mshikaji wangu bwana hapo tumetaniana tu kiutu uzima. Mdogo wako naomba nisikujibu kama nampenda ila angalia matendo tu
Safi sana mamasanaa aisee nampa anashindwa mwenyewe hiyo michepuko iendelee kujificha tu hivyo hivyo
Simjui..sijui kwa nini unamuuliza habari zanguHuyo mdogo wangu mama mmoja...
Mnaugomvi kwani?
Umejifumua mwenyeweKoh umeshanifumua vii?