Patience123 huu uchochezi umeanza lini?Hahaha...
Sisi ikitokea tunaitaga "mke mwenza"...
Sasa sijui huyo mtajwa wewe unamuitaje...
Ni "mkubwa mwenza" au unaonaje?Aise hapa sijui tuiteje, any idea?
Mi nasubiri post yako nimjue huyo mwenye bahatiHa ha sijui hata
Ndugu. Unataka Amtaje Kitumbua kiingie Mchanga? Wacha Bwana. Usitake kuweka Mchanga kwenye makuchikuchi Hotae.Acha hizo buana,kuwa muwazi mbona mimi nimekuwa wazi kuwa nampenda shemale wangu wa nguvu Evelyn Salt??
Sio uchochezi mpendwa, nimewaza tu kwa sauti..Patience123 huu uchochezi umeanza lini?
Dr. Naona Umepatikana. Haluuuuuuuuuuuuuuuu.[emoji122] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji76] [emoji76] [emoji76] View attachment 392962View attachment 392963
Hebu usiwaze tena!Sio uchochezi mpendwa, nimewaza tu kwa sauti..
Umeonaaaaa ehhhhhhhh......Uuuh nimetenguka kiuno kwa presha khaaa
Naona umeamua kuzuga hapa hahah
Hahaha stay stuned. Ukute me ndo nina bahati sasaMi nasubiri post yako nimjue huyo mwenye bahati
Ngashtuka machale kundesaUmeonaaaaa ehhhhhhhh......
Nlikuwa namuangalia tuu anavyozuga
Ni "mkubwa mwenza" au unaonaje?
Umeonaaaaa ehhhhhhhh......
Nlikuwa namuangalia tuu anavyozuga
Hivi mnajua uchochezi ni kosa kisheria?Ngashtuka machale kundesa
Inabidi mkae mkubaliane ni nani dereva na ni nani awe Konda.. TehDah vipi kama mimi ndio mkubwa mume. Inabidi yeye awe mchepuko tu hahah
Nitataja wengi mnooooo,hadi nitajisikia vibaya kama nikiwasahau wengine.
Itoshe tu kusema nawapenda wakaka/baba wote wa JF.
Nina marafiki humu,kaka and of course my baby nae ni JF member[emoji131][emoji132]
Huhuhuuu [emoji126][emoji126][emoji126]
Uchochezi wa maendeleo au?Hivi mnajua uchochezi ni kosa kisheria?
[emoji23][emoji23][emoji23] of course nakupenda pia.Ngo tujipe moyo tu tupo kwenye list yako!!!