Tanzania tunadanganywa mchana kweupe! Serikali hii ni ya utapeli, rushwa na unafiki wa hali ya juu. Wananchi wanauawa, wanateswa, wananyang’anywa haki zao, na bado tunatakiwa kunyamaza? Hell no!
Wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakilengwa moja kwa moja:
2017, Daniel John wa CHADEMA alitekwa na kuuawa kinyama Mwananyamala. Kichwa kilipasuliwa kwa shoka. Mpaka leo—hakuna aliyechukuliwa hatua!
2016, Akwilina Akwilini, mwanafunzi, alipigwa risasi na polisi wakitawanya maandamano ya amani ya CHADEMA—hakuna aliyeajibishwa!
Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 16 mwaka 2017—dhambi yake ni kuhoji rushwa, madudu ya serikali, na kupigania Katiba Mpya! Baada ya kupona, akaambiwa amevunja sheria ya makosa ya mtandao—kwa kusema ukweli kwenye Twitter? Seriously? That’s fucking stupid!
Watanzania tunanyimwa haki:
Haki ya kuandamana (katika Ibara ya 20 ya Katiba)
Haki ya kushiriki uchaguzi huru (Ibara ya 21)
Haki ya kupewa taarifa na kuhoji viongozi (Ibara ya 18)
Sheria ya Taifa ya Uchaguzi (Sura 343) na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa (Sura 292) zinatamka wazi kuwa uchaguzi ni lazima uendeshwe kwa uhuru, haki, uwazi na uaminifu. Lakini kama tume si huru, nani anaamini fairness?
Kanuni za Maadili ya Uchaguzi (GN No. 447 ya 2015) zinakataza taasisi yoyote kuegemea upande mmoja—Tume yetu inafanya kazi na CCM mchana kweupe!
Ripoti ya CAG kila mwaka ni aibu:
Mabilioni hayajulikani yaliko
Miradi feki
Ununuzi wa vitu kwa bei ya ajabu
Kazi hewa, posho hewa, viongozi mafisadi
Na bado wananchi hawana maji, dawa, wala elimu bora! Is this even a government or a criminal cartel?
Hakuna damu itakayomwagika bure! Dunia imebadilika kwa damu:
Thomas Sankara alikufa akitetea Afrika.
Lumumba, Che Guevara, Steve Biko—walikataa kunyenyekea!
Watanzania msijifanye mabwege! Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Huu si muda wa kuomba—ni muda wa kupambana.
Kama uchaguzi hautafuata sheria, kama haki haitatendeka, ba
si no fucking election! The people must rise!